02/04/2003
WECHE MOKADHO

AGAJA
KUYO

BARUPE

WECHE DONGRUOK

MBAKA

NONRO

JEXJALUO ****

NGECHE LUO

GI GWENG'

THUM

TEDO

LUO KITGI GI TIMBEGI

SIGENDNI LUO

THUOND WECHE


 
 
 Hit Counter
 
 
 
 
 

Nwang' e-mail ka jaluo.com

wahaya na wajaluo [wahaya gi joluo]

kanyakla gi gik mamoko duto te naomba kujua utani wa wahaya na wajaluo
chanzo chake ni nini? Mimi ninavyofahamu makabila nyingi au utani wa
makabila yaliyomengi yametokana na kwamba wamepigana vita na matokeo yake hapakupatikana mshindi  alafu baadaye wakaamua kuwa marafiki na urafiki
huo umevuka urafiki wa kawaida na wakawea kama ndugu na ndipo wakawa
watani. Au mwingine amemwokoa mwenzake katika hatari huenda amezingirwa
na maadui na mwenzake akamwokoa na matokeo yake wakawa marafiki na
watani . Sasa sisi wajaluo na hawa washamba  watoto wetu wahaya utani wetu
umetokana na nini? Wengine wanasema walikua hawajui kula kamongo na
tukawasaidia kujua kula ile KAMONGO ndipo wakatushukuru mpaka wakatuona baba zao yaani watani je ni kweli hivyo naomba wajaluo na wahaya
wanisaidie kujibu ili nitokwe na dukuduku hii. Huku kwetu yaani Tanzania hata
bunge letu tukufu wanaelewa jinsi gani utani wetu na wahaya unavyothaminiwa hata katika bajeti ya bunge waziri mhaya au mjaluo lazima ajitahidi apange bajeti yake vizuri ili kusudi mhaya au mjaluo akaunge mkono kama ilivyotokea siku za nyuma na marehemu mbunge moja mhaya na mheshimiwa moja waziri mjaluo. Ni utani unaotamaniwa hata na makabila mengine  kama unavyofahamu huku kwetu Bwana Mungu kwa kumtumia marehemu aliyekua ndugu yetu mpendwa marehemu J.K. Nyerere tuliondoa ukabila kila mtu ni NDUGU lakini undugu wetu na wahaya umezidi tofauti wao wamezidi ushamba huko kwa wamesoma watu
watatu tu  moja anayo digrii ya kuiba ng'ombe kutoka Musoma na kupeleka kwa
na mwingine anayo digrii ya papa yeye aliajiriwa na Vatican alistahili
kuwa papa lakini roho mbaya ya watu wa mwisho anayo digrii ya kutoroka
jela alitoroka na gari la kimulimuli analpanda rais tu naye amesoma .
Hayo ndo baadhi ya utani wetu na wahaya sasa nisaidieni utani wetu huu
chanzo chake . ORITI URU NYIKWA RAMOGI AJWANG
Vitalis Chuonyo.


Ka in gi mari moro ma di wandik ka to orni
Akelo,Nyar Kager 
jaluo@jaluo.com
Daher winjo dwondi in bende, iwinjo?


Waparo mar paro jotend Luo mosekelo pogruok e piny Luo chakre higa 1900 nyaka 1999 e gweng'u  kata ei Luo duto. Koro wakwayou uduto ni par uru ane jogo ma di uket nying gi ka kod weche duto ma ung'eyo kuomgi mondo uor ni Akello NyarKager: jaluo@jaluo.com

Kata inyalo oro twak kod weche manyien ne: Mig. Ajos wuod Atiga
 WuonAbila@jaluo.com


GALAMORO : Riwruok mar JOLUO e Piny Ngima, orwaku uduto mondo ubed e kanyakla mar burani. Ornwa nyingi gi nondi kaka obedo. Riwruok e teko joka Nyanam.

WENDO MIWA PARO

OD PAKRUOK

                                Copyright © 1999-2002, Jaluo dot com
                                All Rights Reserved